Hamna cha utafiti wala nini...Hebu fanya analysis kisha leta uzi wa report kwa haraka haraka naona kama wanaume ndo wahanga zaidi na siyo wanawake
PouwaSawa mheshimiwa
Acha kumsingizia mume wangu.Duh yule list yake inafika mpaka Kibaha kwa Mathias
No 2 hapo... Wakristo wengi ndio wako kwenye mitandao ya kijamii... wengine wapo bize kwenye kuendesha madaladala, bodaboda, ukondakta na ucheza mpira... si rahisi uwaone wakikomenti hapa... Unaweza ukafanya utafiti kuthibitisha haya...Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.
Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
Kwahiyo unataka kusemaje babu?Hamna cha utafiti wala nini...
Ukweli ni kwamba wanawake ni wajanja kuliko wanaume... Wanapenda kuficha hisia zao kuliko sisi...
Angalia kila siku wanalalama wanaume hatujatulia, nasi tulivyo majinga tunakubali huku tukijisahau kuwa kutotulia kwetu hatumegani sisi kwa sisi...
Wanaume ni wepesi wa kusema "Nimewamega wadada kadhaa" lakini wanawake kamwe hawapendi kusema wamemegwa na wanaume wangapi...
Sijaona povu lako.Hahaaa huu uzi unachekesha hatari
Basi kuna uliowaliza.. kwa nini mko ivo nyie wanawake
Hahaa na mimi nilikumbuka pia. Kuachwa ni shughuli pevu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu, hadi nimekumbuka ile sura inayojaa camera
Nlitaka kukusalimia tu shemeji...Kwahiyo unataka kusemaje babu?
Langu limetokea mara tatu duuh!!
Hebu muache aunty yangu.
Ni vile ty wanawake inaonekana kwa kiasi kikubwa huwa hawabebi mizigo ya maex wao. Lasivyo ungetokea kama mara mia hivi.
Janet....go to hell mother fanta
Kwa hiyo nao ni wahanga ila wanaficha hawalalamiki?Hamna cha utafiti wala nini...
Ukweli ni kwamba wanawake ni wajanja kuliko wanaume... Wanapenda kuficha hisia zao kuliko sisi...
Angalia kila siku wanalalama wanaume hatujatulia, nasi tulivyo majinga tunakubali huku tukijisahau kuwa kutotulia kwetu hatumegani sisi kwa sisi...
Wanaume ni wepesi wa kusema "Nimewamega wadada kadhaa" lakini wanawake kamwe hawapendi kusema wamemegwa na wanaume wangapi...
Mimi ni mwadilifu ndo maana jina langu halijatajwa... Nikimwacha binti wa watu anapata baraka ya kwenda kuolewa... LOL
Mie sijawahi umiza jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85]ahahhaha sijui nikuambieje mkuu ! mie huwa sipend kulia kisa mapenz jaman ! nadhan wako niliowaumiza ! ila sasa sio kuwaumiza kuwachaeat hapana,nikikushindwa wala sifake nakuacha asbh mapemaaaaaaaaa!
kuna mshikaji niliwah muumiza !alikua ananipenda nkawa nadengua na mwembwe juu !
huyu nakiri anisamehe jaman !(huwa namkumbuka kitu 1!hakuwa mnywa pombe ) na alikua serious na mm mno mno !
Baraka popote ulipo nisamehe sana aisee!ulikua utoto na wehu tu !
Yaani kaachwa ndio kayaona madhaifu ya mwenzie duuh!! Hapo ukute wakati mahaba moto moto alikuwa anamuona mrembo wa dunia.Hahaa na mimi nilikumbuka pia. Kuachwa ni shughuli pevu