Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Nilikuwa najiandaa nikutaje na povu la hatari ila kwakua umeomba msamaha nimetulia


hahah mkuu mbona umenipania sana !yes najikutaga namuwaza na kumuomba msamaha ! hatukuwah kuwa wapenzi ,ila alikua aninipenda jaman !kha !dis is the sec tym namuomba msamaha! nimesahau surname yake ningemsearch fb !ila nahakika alishanisamehe !

haya nitue bas rohoni mwako!
 
No 2 hapo... Wakristo wengi ndio wako kwenye mitandao ya kijamii... wengine wapo bize kwenye kuendesha madaladala, bodaboda, ukondakta na ucheza mpira... si rahisi uwaone wakikomenti hapa... Unaweza ukafanya utafiti kuthibitisha haya...
Oh. You actually might be right. Thanks. Ntalifuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…