Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

katika vitu ambavyo wengi hawaamini ni haya ! mie sijawah UMIZWA JAMAN ! sijawah achwa naachaga !so sina la kukumbuka aisee ! pole zao !
yaelekea wewe ni mrembo sana dada?maana hata akina Ivanka Trump waliishachwa
 
If you're having girl problems I feel bad for you son
I got 99 problems but a bitch ain't one
 
Huyu ****** sylvia alinikatalia form moko ila kuna wahenga kibao walikuwa wanaweka kinyele nae alikuwa mtu wa mbeya huko huko kibuyuuu..Sylvia opportunist af style yao hio hio ya kujitia wameokoka
Mkwe inaelekea moyo wako umeujaza chuki sana dhidi yetu!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Nimekuelewa my sister,

Unajua kuhifadhi vitu moyoni muda mrefu ni shida Sana, najua inauma Ila inabidi tujifunze kuwa mapito tu then tusonge mbele
Unapoujaza moyo wako chuki unazuia hata yale mema kukujia. Na hata yakikujia huyaoni as huyapi nafasi.
Mtu mzima mlokutana uzeeni unaruhusu vipi akuumize kiasi cha kuchikia wengine!! Never!!!
 
Galadudu haujatajwa kweli!!! maana wanafukua makaburi si mchezo, haaa!!!
 
Aiseee akina Mary ni shida adi mwenyew ET nimerudiana na mpenzi wangu wa zamani, dadek akina Mary hata akili zao ni nzito Sana darasan, kuanzia aliekuwa girl Wang... Kilaza kweli, kuna jiran apa nae ni Mary nae kulaza mno, yupo huyo wa zamani miaka ya 2012 nae abaitwa Mary huyu ndo form two tu alikataa shule nae kilaza kweli.... Ogopa kumpa jina la Mary mtoto wako!!
 
Unapoujaza moyo wako chuki unazuia hata yale mema kukujia. Na hata yakikujia huyaoni as huyapi nafasi.
Mtu mzima mlokutana uzeeni unaruhusu vipi akuumize kiasi cha kuchikia wengine!! Never!!!
Mtu badala asonge mbele bado anawaza ya nyuma.

Maisha inabidi yaendelee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…