Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Huu uzi kwa tathimini wanaume ndo mnalalamika sana kutendwa na wanawake....kwani wanawake hamtendwi au vichwa ngumu??
Wanawake wapogi kwenye safe side maana wanahiari ya kupokea ama kukataa kupokea. ME always ni watafutaji na watoaji so do the math bro
 
Wanawake wapogi kwenye safe side maana wanahiari ya kupokea ama kukataa kupokea. ME always ni watafutaji na watoaji so do the math bro
Wapo wanawake wapo watafutaji, sema wanavumilia, mnalia sana kutendwa jamani mtadhani sisi hatutendw

By the Mimi ni ke sio me
 
Lisa, Eliza, Jenny, Salome, Janet, Grace, Irene,Elisia, Lucy, Nasra, Hawa, Leticia, Anet, Maria, Anna, Doris, Lillian, Catherine.

Nimeweza kuwakumbuka hawa tu!
Yaani utendwe na wote hao!! Wewe ndio utakuwa tatizo.
 
Sikujua amani .mamake alikuwa muuza gongo maarufu pale temeke mwisho. Sasa ni mwalimu huko dar ameolewa na mwalimu mwezie wanafundisha wote
Huyu bitch alikuwa muongo sana sana
 
Haha Yupo, Patrick ulinitenda Mbuni wa mjini wewe....ningejua nisingekukubali ningekaza kamba, ulikuwa baya, afu huna hela nikakuvuvumila ivo hivo umepata vijisent ukaniona fala kunguni wewe, na utaishia kuzalisha huoi ng'oooooo.
hahahaha asiwe patrick daktari jamaa yangu ssana wa dodoma, kama ndiye ntafikisha ujumbe pole sana
 
Haha Yupo, Patrick ulinitenda Mbuni wa mjini wewe....ningejua nisingekukubali ningekaza kamba, ulikuwa baya, afu huna hela nikakuvuvumila ivo hivo umepata vijisent ukaniona fala kunguni wewe, na utaishia kuzalisha huoi ng'oooooo.

Hahahahaaa mie natafuta wa kutoa povu nimekosa...naona umeamua kuvunja ukimya kwa hisani ya JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…