Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Sikujua amani .mamake alikuwa muuza gongo maarufu pale temeke mwisho. Sasa ni mwalimu huko dar ameolewa na mwalimu mwezie wanafundisha wote
Huyu bitch alikuwa muongo sana sana
mama muuza gongo, kuishi temeke...mpk hapo ulitakiwa utembee kwa tahadhali bila kujiachia mazima
 
Anitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma

mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
Nimeipenda hii list Hatar yani mkuu kweli hapa unaumia kwel
 
Hapana kichina ndo safi kina Yutong shi ngiuuu itakuwa nilitamka maneno ambayo sna uhakika kama nitayakumbk yasaidie kumtolea laana
hehehe Yutong shi... mbavu zangu mie...huyo nae atalipwa hapa hapa duniani...whats goes around always comes around...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…