Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mie huyu Lucy wa karatu nilimpa kila kitu ila akaposti picha ya kijamaa cha hovyo kbs prfl akadai kk kumbana mara nimetoa kwenye michuzi haishi vituko nashukuru nimetua mzigo salama ila atajuta sana
 
Ni noma mkuu huyu alitaka kuja mpaka Kanisani kuzuia ndoa yangu bahati nzuri washikaji wakamtaiti kabla hajangia ndani

Mkuu hata mimi huyo binti ninayemjua hilo alilokufanyia halimshindi kabisa. Mimi mwenyewe nilishafanyiwa matimbwili kibao.....she could be the same person!! Daah, mambo haya!!! Pole bro.
 
Mkuu hata mimi huyo binti ninayemjua hilo alilokufanyia halimshindi kabisa. Mimi mwenyewe nilishafanyiwa matimbwili kibao.....she could be the same person!! Daah, mambo haya!!! Pole bro.
Hee, itabidi unisimulie hii kitu vizuri
 
Danford Nombo daah we jianaume ulaaniwe huko uliko ni muongo mpaka bhas yani wewe ni muuaji aisee mana sio kwa kuongopa kule kujidai doctor kumbe huna lolote unadai phamarcy yako umeajiri watu kumbe nawe ni muajiriwa kusema una nyumba kumbe huna hata uwanja nawe upo kwenu tu kile kigheto kumbe umepangiwa na boss wako na nasikia ulifukuzwa hata pale pharmacy daah yan uendelee tu kupata majanga na juz kati nimepata news umetoka jela ulifungwa yaan na bado acha uisome nambaa wewe lijanaume la kisukuma,pumbavu zako!
 
Nawewe Heradius Derick Chami wewe damu zikulilie huko uliko sio kwa ukatili ule huna hata chembe ya huruma sijui upo wapi siku hizi,ulivo sura yako ya upole na mtu akikutazama hawezi fikiria kama wewe ni mkatili kiasi ile..all in all life is go on
Utakuwa umechanganyikiwa ww
 
Let me spare his name!!Ila cha moto nakipata!uuuuh sumu haionjwi Kwa kweli!!
 
Rosemery kik namjima go to hell ) sina hamu na wewe na ushauri wa bure na kupa huyo mtu anaitwa dalali kuwa naye makini tu .
 
A
mbalo sitaki kulisikia ni Mwajuma, huyu alikuaga ex wangu alikuaga ananuka K afu bado anapenda sana uingie chumvini.shaaabash!!!!
Ambalo napenda kulisikia ni Fetty, huyu alikua moja kati ya ma ex wangu alikua anapenda sana kufanya mapenzi, tena mvua ikinyesha ndio duu anaweza akakuua, yaani kila saa anataka.nahsi alikua ana jini Mahaba hakika ninakiri kwa kinywa changu kwamba cjawai kuwaza kumcheat kipindi niko nae kene mahusiano.
 
Ulaniwe Jasmine, huyu mbwa miaka mi2 kanichomesha maindi ahadi nyingi na matumaini yeye ni bikra tumalize shule kwanza nipewe,, Kumaliza tu kaolewa na bwana mwingine saivi kaachika analia turudiane bora niwe na mbuzi cio wewe kafiri mjalaana ulaniwe
 
Hahaahaa miaka miwili yote unasubiri...... We kweli ulikuwa boya isee
 
Eliza popote ulipo sitokusahau popote ulipo ulipo nisaliti tulikiwa chuo kumbe umempata libaba la TRA la huko Iringa hadi nikakataa kukupa mchango wa sendoff yakoo kisa moyo unaumaa
Ha haaa haaaa Nimecheka sana aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…