Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Ahahahaaaaaaa acha nifurah tu...
 
[emoji15] [emoji87]
Matusi yote yake doooh...!!

We utakuwa mgeni wa mapenzi siyo bure.... !!
 
Hakika nimesikia vilio vyenu hebu kila mmoja anene kwa lugha baadaye nitaenda kupeleka malalamiko yenu kule kuzimu ili kuwapa adhabu walio watenda kimapenzi....

By katibu mkuu wa mawasiliano ofisi ya kuzimu.
[emoji23] [emoji1] [emoji13] [emoji91] [emoji119]
 
Wakisalitiwa wanafikiria kujiua... Sa demu unagonga kwa bao 1 unategemea asije kwa Morgan fisherman kupata bao 4 za ghafla... [emoji23] [emoji13] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23] [emoji23] et bhna aje huku apigwe bao za kutosha mpk papuchi itoe harufu ya mishkaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…