Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaah huu uzi ni fire
 
Eeeeh pole mkuuu.... Kimetokea Nini Tena??? Ila ujue sio wote
 
Kapita kake tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…