Full njema pande hizo??Hahahhaahahahhahahaha...
Braza niaje aiseee....!
Kamanda kwema kabisaaa...Kitambo kidogo kimepita.....Kwema mzee mwenzangu??
Majukumu mzee mwenzangu yamebanaKamanda kwema kabisaaa...Kitambo kidogo kimepita.....
Salama kabsa bro,habari za siku mzee?hope unaendelea poa huko!!Mkali niaje aiseee.....
Mkuu huyo Salome alikufanya kitu mbaya aisee pole yako mkuu.Jina linaanzia na S linaishia na e, huyu amenifanya niwachukulie wanawake kama watu wa kawaida sana kwangu, nawaheshimu tu, lakini inapokuja kujishokesha huwa sinaga hizo makitu kwao, na hata demu akitishia kuniacha huwa sitishiki,hata wife anatambua, na adabu sana coz huwa namwambia, kama wa kwangu ni wangu na kama kuna mtu amemwona anamfaa asepe nae,....huwa ananishngaa, na sio kwamba simpendi ,ila now dayz huWa sipendi kuendekeza kujiafanya mapenzi niue
KeWe ni jinsia gani mkuu?
Ndiyo ukubwa kamanda, hakuna namnaMajukumu mzee mwenzangu yamebana
Niko poa kabisa kaka, nafurahi kukuona mzima.Salama kabsa bro,habari za siku mzee?hope unaendelea poa huko!!
[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]Wao ndo waumizaji zaidi, maana asilimia zaidi 50 wanaume tz tunalea watoto sio wetu. Na usishangae mtaani unasalimiwa/unaulizwa na wanaume wenzio watoto hawajambo nyumbani ukafikiri wanamaanisha watoto wako, kumbe watoto waliozaa na mke wako.
Lucy.... lucy inabid n iwe makini na lucy wangu
tina ni washenzi na malayaTina, Tina, Tina.
Nimekuita mara tatu paka mwitu ww, na utalaanika kulalekiiii.
Aseeee, ni balaaa sana.tina ni washenzi na malaya
HeheheAISEEE
DaHhh!!Yohana alcohol nyambaf
Duh na mm shawahi kuwa na Sabina ngoni nkiwa TPDF SEC maeneo ya Pwan na Darsabina mtoto wa kingoni alinipa uzoefu wa kusalitiwa toka nipo shule ya msingi, since then nimekuwa harsh sana kwa wanawake kiasi cha kuonekana waajabu
ExactlyNdiyo ukubwa kamanda, hakuna namna
Boss wangu ulikwama wapi? Saivi ungekuwa unamiliki Kebby's Hotel, au ungekuwa DC wa KC Rawe😅😅Yohana alcohol nyambaf