Hapana mkuu. Sikutaka kuweka hilo jambo kwanza coz niliona mwenzangu mtu wa dini sana so sikutaka kumkwaza na anifikirie labda namtamani kimwili. Can you believe nilikuwa kwa miaka zaidi ya mitatu lakin sikuwahi kumtaka kimapenzi?! Sijui nilirogwa na nani mimi khaaa
Caro[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
LOVENESS I WILL HUNT YOU DOWN KUCHEPUKA UCHEPUKE MSAMAHA NIOMBE MIMI HADI KUJIRUSHA GHOROFANI DAAAAAAAAAH I WILL HUNT YOU MAZA FANTA
Unahisi ndiyo unapitiamo humo humo?Huyu anitha wa wapi??
Ha ha ha Dah.... Shikamoo HeadmasterPENDO MAGA... ASEee kumanina zako eti....form two tulikua na mapenzi kama ya wahindi,,,nlikua nasoma uku nimelalia mapaja yako,, nyoko wewe nlijiona ni headmaster wa shule kwa kumiliki mtoto mzuri skuli nzima....mavi ya birihani weweeeee.....ukasabibisha matokeo kua mabovu ya fm 2 na 3 mchambia uso wewe....nlikulinda pendo ata walimu hawakukusumbua.....namaliza six ukanipga kibuti cha mbavu changa eti kisa umepata mwana anapga kazi voda.....unampa bwana wako sim anachat na mimi kenge wa singida wewe....sasa yule muhuni kumbe customer care....hahaahaaa....bwaahaaaa..nacheeka kwa dharauuuu...ameoa mtu mwingine najua sura imekushuka kama futari ya magimbi nyani wa gombe wewe.......yani uendelee kuaa kimya ivo ivo,,,,,ukithubutu kuntafta nakupika ftari na mishkaki afu nakufuturu......hopeless maandazi wewe.....nyoko kabisaaaaa..kwanza
mamaeee we....
.
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
Huyu mtu na wewe si ungemtaja tuKuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Watu wawe aware tuUnahisi ndiyo unapitiamo humo humo?
Hahahaaaaaaa tulia mkuuWametokea Rombo ipi mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaaaa tulia mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekusoma mkuu
Asante sana ila lazima nirevengePOLE kwa niaba
Wewe ni mnyakyusa samahani lakini???Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
revenge is not good. Lol, u better pretend like nothing happened π πAsante sana ila lazima nirevenge
he!Jesus of Nazareth!Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Sawarevenge is not good. Lol, u better pretend like nothing happened π π
Acha tuDah wanawake wa majina haya mungu anawaona!
Damn Becky, hii balaa ya yote