Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.

Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
 
duh huyo Lucy wako Yuko sawa na Dadaake Mary ....Mary nenda Mary ....ila utaumuia saaan ucpobadilika
 
Aqkhuuu. Silitaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linikome,yaani umenifanya nimkumbuke yule dogo mpaka alifumwa maana yeye waalimu wa kiume wakawa wanamgombania(nimesoma girls) walinzi ndio usiseme. Akatimuliwa shule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari kweli
 
endelea tuu mkuu Belinda hajatajwa huku
 
Nasubiri kama nitaona wajina amemliz Mtu nicheke kwa herufi kubwa. Mpaka sasa bado naona kina Jackline,irene ndio wanavuma tu humu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
namba moja weka Maria/Marry kenge hawa
 
Aliondoka kwa mbwembwe lakin hakujua kuwa malipo hapahapa tena naskia kila sku anaachwa maana laaana nilizompa sio za nchi hii ni za kichina kabisa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…