Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Ukipita sehemu mbalimbali hapa nchini kuna majina pengine ulistaajabu kuyasoma ama kuyasikia, mfano kuna sehemu panaitwa GANG 48 Mkoani Tabora ni jina ambalo linakufanya utake kujua nn hasa ni hio GANG 48 , KAZIKAZI, nakadhalika
Aisee nimepita hapo leo gang 48, nikitoka manyoni to Tabora,,na Mie nilistuka kidogo,Ila nahisi ilitokana na vituo vya train enzi zile...
 
Hii
FMqYcF8XIAQsigD.jpg
 
Back
Top Bottom