Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Halafu kati ya Nzega na Igunga...Kuna CHOMA mbele IBOLOGELO nyuma
 
U
Advance nilisoma na jamaa anaitwa Barnabas Matako. Kama yumo humu naomba nisamehe kwa kukutolea mfano ila kiukweli kwa mara ya Kwanza nilishangaa sana.
Umeambiwa sehemu sio majina ya watu,ndio maana ulifeli
 

Attachments

  • Screenshot_20230922-225321.png
    Screenshot_20230922-225321.png
    256.5 KB · Views: 3
nimesoma na mwamba 1 shule ya msingi anaitwa bellokumanzi muhagama ila kufika sekondari kuna muhuni akaongeza neno to ilikuwa kasheshe siku iyo ticha akaita kwenye daftari

bellokumanzito
[emoji23][emoji23][emoji23] wanafunzi jaman
 
Back
Top Bottom