Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Kama hivyo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hivyo sawa
Umeambiwa sehemu sio majina ya watu,ndio maana ulifeliAdvance nilisoma na jamaa anaitwa Barnabas Matako. Kama yumo humu naomba nisamehe kwa kukutolea mfano ila kiukweli kwa mara ya Kwanza nilishangaa sana.
Na ni Ukoo wa watu huo.[emoji23]Singida kuna kijiji kinaitwa senge
Kisenge huyo hapo anayesainiSio Peter Kisengo [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] wanafunzi jamannimesoma na mwamba 1 shule ya msingi anaitwa bellokumanzi muhagama ila kufika sekondari kuna muhuni akaongeza nenotoilikuwa kasheshe siku iyo ticha akaita kwenye daftari
bellokumanzito