Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Naantombe Mushi japokuwa kaifuta "Mbe" na ni member aliyepo humu ndani.
 
Ni kweli aisee [emoji2][emoji2]
Primary nilisoma na Kiberiti Nyoni, advance nikasoma na somebody ila ubini wake ni Kiberiti.

Huyu wa advance nilimuuliza ni mtu wa wapi, alisema ni Songea, nilichekaa balaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenyewe nliesoma nae olevel alikua wa songea 😄😄...Itakua ni jina la kingoni hilo
 
Kiboloeka....huyu jamaa alikuwa mpenda nyapu..mama yake kampa hilo jina...yupo kigamboni mwembemdogo
 
Kuna balozi mmoja wa nchi jirani aliletwa nchini kuiwakilisha nchi yake. Majina yake ikawa ni kasheshe kuyataja ikabidi mamlaka imrudishe kwao, hiyo ni tisa, kumi ni jina la kijiji kimoja huko Ghana kinaitwa Kumansenu. Bado kuna wa mpira huko Japan unaitwa Kumamayo. Nenda Kenya kuna kambi ya wakimbizi inaitwa Kakuma. Zanziba tu hapo kuna Makunduchi, mchambawima. Nenda Afghanistan kuna Kunduz, halafu kule Kahama kuna shule ya msingi inaitwa Ufala
 
Back
Top Bottom