Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Huyu kiberiti hata Mimi nimesoma nae chuo



Halafu kuna mdada alikuwa jirani yangu pale kino anaitwa Chausiku Magoli yaani nilikuwa nacheka sana
kumbe wapo wengi akina kiberiti,, basi mimi nilikua naliona jina la ajabu eti 😂😂😂
 
Niliwahi kwenda Zanzibar nikapanda vidaladala vile ...nikasikia konda anasema ..."kikuuma"..nilistuka mno..
Baadae nikagundua stendi ni jina la maskani inaitwa "ikikuuma sema"
Wanakatisha kusudi
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom