kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Jina la balozi wakizambia aliyekataliwa na magufuli ,kisa jina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesoma na mwamba 1 shule ya msingi anaitwa bellokumanzi muhagama ila kufika sekondari kuna muhuni akaongeza nenoTulisoma na jamaa mmoja ni mngoni anaitwa Tumbiri komba...Ila alibadili jina la kwanza la mbele limebaki komba ..
to ilikuwa kasheshe siku iyo ticha akaita kwenye daftari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimesoma na mwamba 1 shule ya msingi anaitwa bellokumanzi muhagama ila kufika sekondari kuna muhuni akaongeza nenotoilikuwa kasheshe siku iyo ticha akaita kwenye daftari
bellokumanzito
Ni kweli aisee 😃😃Songea wamejaa kibao, kina kiberiti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ya kwanza nasikia hilo jina nilishangaa sanaYeah hayo majina ya kisukuma. Kiberiti huyu ni mzee nafanya nae kazi, kuna Sindano, Cherehani n.k
Kumbe wapo wengiHuyu hata hayuko mbali. Ukienda hata hapo Securex yupo
Yeah mimi ni mlinzi, ndio naingia lindo hapa.Mkuu upo hapo Securex nini?