Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Advance nilisoma na jamaa anaitwa Barnabas Matako. Kama yumo humu naomba nisamehe kwa kukutolea mfano ila kiukweli kwa mara ya Kwanza nilishangaa sana.
Ha ha ha kwani yule anayeitwa KAKUNDA si ni katako kadogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siendi mbali, na hivi nimwemwamkia huyu mderder nimeshangazwa sana na Foxy kuwa mdini mdini. Baizewei ni FaizaFoxy.....yaani nilibaki
open-mouth-clip-art-67482.png
 
😎
 

Attachments

  • Screenshot_20230919-235748.jpg
    Screenshot_20230919-235748.jpg
    60 KB · Views: 3
Back
Top Bottom