Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

Jina gani la ajabu la sehemu yoyote umewahi kulisikia ukabaki mdomo wazi?

[emoji28][emoji28][emoji28] na analitaja comfortably kabisa
Nilijidai sijamsikia vizur nikamuuliza David makuku? Mwamba akarudia kwa kutaja spelling kisha akaunganisha kwa msisitizo maana I wanted to be sure maana simu zinarekodiwa hahah
 
Nilijidai sijamsikia vizur nikamuuliza David makuku? Mwamba akarudia kwa kutaja spelling kisha akaunganisha kwa msisitizo maana I wanted to be sure maana simu zinarekodiwa hahah
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kipindi nipo shule kunasehemu ilikuwa inatajwa sana japo siijui ilipo ni wapi, inaitwa MFYAMBE ilikuwa Jina flani maarufu na sehemu zingine zinaitwa KINYERI,NYEGERE naajina mengine ya watu ambayo niliyaona ya peke :AMBONISYE,AMENYIMANA na NIUKURI
 
Screenshot_20230921-004035_Chrome.jpg

Kumamoto
 
Ukipita sehemu mbalimbali hapa nchini kuna majina pengine ulistaajabu kuyasoma ama kuyasikia, mfano kuna sehemu panaitwa GANG 48 Mkoani Tabora ni jina ambalo linakufanya utake kujua nn hasa ni hio GANG 48 , KAZIKAZI, nakadhalika
1:Kwa mtoro (chemba- dodoma)
2:ndoroboni, (kwa mtoro_ chemba- dodoma)
3:mtego wa noti (kasulu _kigoma)
4:kisa uke (madale_dar)
 
Back
Top Bottom