Jina gani la ajabu umewahi kusave kwenye simu yako

Ebana weeee

Kuna kondakta mmoja wa basi fulani la mkoani, sasa kulikuwa na mzigo wangu unasafirishwa kwenye basi lake.

Kiusitaarabu nilimpigia ili kujua utaratibu kamili, aisee alinijibu vibaya mpaka nikasave namba yake MJINGA.

Sasa baada ya kufika na kunikabidhi mzigo wangu akapiga kukofirm iwapo ni mimi kweli mwenye huo mzigo au la!

Muda huo nilikuwa sikumbuki nimemsave vip

Baada ya kuona hiyo saving nilishangaa hakusema chochote mpaka leo huwaga sijui ni nini aliwaza.
 
Emergency 1 mpaka 20
Just Incase 1 mpaka 20
Msumbufu
Liability
Nasikia Njaa
Una Buku hapo
Usisahau Spray
Etc
 

Ni kweli kabisa... mimi nikikusave na jina tofauti... ukinipigia nitakuuliza wewe nani... kama nisipoipiga muda mrefu naifuta...

Naku save na majina yako kamili... hapo hata iweje siwezi kukusahau...


Cc: mahondaw
 
kupe
6PCM
HIKI NACHO
MXIEEEW
HAHAHAHA
DOMO LANGU ZITO
ACHANA NAYO
hayo yalikuwa zamani saa hv la ajabu ni shemu fake
 
Hahahaha Nooma kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…