Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ngongochoro
Makofia
Kijambisho
Makofia
Kijambisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ningewafyekelea pamoja na udugu wetu!! Hahaha kila siku nakuambia una mmoyo wa kipeke na huruma.Najua hawana, asilimia kubwa ni ndugu zangu
Haha sidhani ila huwa najua kwa vile ni ndugu zangu ipo siku nitahitaji kuwasiliana nao kwa sababu moja ama nyingine kwa hiyo nahitaji namba niwe nazoMi ningewafyekelea pamoja na udugu wetu!! Hahaha kila siku nakuambia una mmoyo wa kipeke na huruma.
Mimi pia huwa nasahau. Nakumbuka kuna siku kaka yangu alitumia simu ya mwalimu mwenzie kunipigia nikasevu ile namba just in case na nikasave 'ticha'. Baada ya muda katika kuangalia phonebook yangu nikawa najiuliza huyu ticha ni nani? Nikitaka nifute roho inagoma, Baada ya kutafakari sana ikabidi nimpigie, nikamueleza hali halisi akaniambia mimi ni ...... mwalimu wa ..... ndio kukumbuka. Tangu siku hiyo huwa sisevu tena majina ya bandia
Hahahhakupe
6PCM
HIKI NACHO
MXIEEEW
HAHAHAHA
DOMO LANGU ZITO
ACHANA NAYO
hayo yalikuwa zamani saa hv la ajabu ni shemu fake
AiseeEmergency 1 mpaka 20
Just Incase 1 mpaka 20
Msumbufu
Liability
Nasikia Njaa
Una Buku hapo
Usisahau Spray
Etc
Hahahaha Nooma kweliEbana weeee
Kuna kondakta mmoja wa basi fulani la mkoani, sasa kulikuwa na mzigo wangu unasafirishwa kwenye basi lake.
Kiusitaarabu nilimpigia ili kujua utaratibu kamili, aisee alinijibu vibaya mpaka nikasave namba yake MJINGA.
Sasa baada ya kufika na kunikabidhi mzigo wangu akapiga kukofirm iwapo ni mimi kweli mwenye huo mzigo au la!
Muda huo nilikuwa sikumbuki nimemsave vip
Baada ya kuona hiyo saving nilishangaa hakusema chochote mpaka leo huwaga sijui ni nini aliwaza.
HahaaahaUn smile.. huyu huwa ni tabu kutabasamu.
Chawote..huyu ni baada ya kuona kaweka password mpya kwenye simu yake.
Labda Ulikuwa unanukia sanaMimi kuna demu nilimkuta kanisevu "Malashi" sijui alimaanisha nini
Hujamtafuta bado?? Hahahah[emoji3][emoji3] eti Jf. Mimi kuna mkaka miaka ya huko nyuma alinipaga namba huko PM nikasevu Jf ila kila nikitaka kumtafuta roho ikawa inasita. Mpaka leo namba ninayo na imeseviwa hivyo hivyo Jf
Hahaha hatariiKuna Dem flan alikuwa ananifatilia saaaana ikabidi nimsave GUANTANAMO baadae nikaona haitoshi nikaedit na kumsave BAY OF PIGS alimind sana siku alivyofahamu...
Hahaha duh! halima gobaJF, Goba, mbezi....etc hivyo yaani[emoji3][emoji3]
Inategemeana tumekutana wapi.
Sina mpango