Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
- Thread starter
- #61
Hilo jina limekaa kihazabeOtorong'ong'o nimekuja kujua maana take nikacheka sana nilikuwa mitaa ya shirati.. Kina mwamba akanizoea sana kwahiyo kwa kunipamba akawa ananiita hivyo..
Nikamuuliza maana take kumbe ni nzuri tu