Jina gani la mwana JF ukiliona tu unaangua kicheko?

Naantombe Mushi hili jina asee huwa nachekaga tu.
Zamani hizo nlikuwa naenda kwa babu kusalimia, kipindi nipo mdogo miaka 7 au 6 hivi... natoka asubuhi asubuhi naenda kusimama barabarani... wakawa wanapita wale watu wanasalimiana... utaskia 'Naantombe Mushi, huyu anaitikia eeeek Mamboro'.... sasa hapo ni kama vile wamesalimiana, 'habari za asubuhi bwana Mushi,.. na Mushi akaitikia, nzuri sana Mamboro, na ukumbuke hapo Mamboro ni jina la ukooo
 
Mmachame na Mmeru ni ndg?
Lugha yenu inafanana kwa 95% na mnasikilizana kabisa.
 
Back
Top Bottom