Jina gani la mwana JF ukiliona tu unaangua kicheko?

Otorong'ong'o nimekuja kujua maana take nikacheka sana nilikuwa mitaa ya shirati.. Kina mwamba akanizoea sana kwahiyo kwa kunipamba akawa ananiita hivyo..
Nikamuuliza maana take kumbe ni nzuri tu
Hilo jina limekaa kihazabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…