ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
HOD where are you ?mbona hujibu ?tatizo ulipolala wewe watu washaamka......!hv kwa nini hampendi kua wakweli......
sitasapoti watu wanaotudanganya ushenziushenzi, HOLLYWOOD WALK OF FAME? DAMNNNNNN
Utakuta washadanganyana huko instragram na fb, akahisi huku kuna mapimbi kama huko.
insta wameshadanganywa hadi basiiii
haha huko insta watu ni the walking of fame star, haters gonna hate..... Watu maneno kibao na wengine ambavyo hatujui tunalishwa matangopori tu
Mkuu tatzo letu waTZ tunapenda sana uongo..
Hyo sio hollywood walk of fame,.
HIYO NI KUTambua uwepo wake kwenye tuzo za BEt na aihusiani na hollywood hata kidogo,sherehe za tuzo zikiisha na jna lake linatolewa hapo..
Avheni sifa za kijinga bhana,kupenda kujipa mambo yasiyokuwepo na yasiyowezekana..
Big up diamond kwa kutuwakilisha,ila mfundishe kaz huyu mtangazaji wako
haha huko insta watu ni the walking of fame star, haters gonna hate..... Watu maneno kibao na wengine ambavyo hatujui tunalishwa matangopori tu
Halafu mtu yoyote akiwaambia ukweli ni hater watu wanadanganyika kirahci sana
ile research iliyosema Tz watu wana low IQ wala haikukosea..laiti wangejua kuna watu huko USA wanafanya lobbying ili Jay z na Beyonce wapewe heshima hiyo ya hollywood walk of fame wala wasingethubutu ku post hii ----..daamn it
hapa kwenyewe hauchelewi kuambiwa "hater"
wasanii gani wamewahi kupewa hiyo heshima ...walking of fame
insta wameshadanganywa hadi basiiii
If he dream he better work up and appologise.Mbona mnapenda kuidanganya jamii jamani?Unatakiwa ufanye kitu ambacho hakito sahaulika milele ndo uwekwe pale na wao wenyewe.Je hio almasi ya bongo imefanya nini
Tatizo la HOD anapoweka bandiko anahisi watakaosoma ni watu walio na upeo kama wake.
insta wameshadanganywa hadi basiiii