Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho.

Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ?

Naomba kufahamishwa.
 
Tsubirie wadau wenye jina lake kamili ila shusho la mumewe kama habari hapa chini inavyosema

Christina Shusho was married to pastor John Shusho before the two filed for divorce. They had three children from their marriage: Odesia, Hope, and George Shusho
 
Chrstina keplhin shusho
 
Labda sababu mume hajafungua kesi ya kumnyang'anya jina na jina limempa umaarufu. Ila baadhi ya wanawake tabu sana wanakana majina ya wazazi wao na kujipachika ya mume mfano bona kalua alipoachika akatakiwa kuliacha,bado waziri wetu gwajima daah
Kwa nini bado analitumia hilo jina ilhali wameshaachana?
 
Labda sababu mume hajafungua kesi ya kumnyang'anya jina na jina limempa umaarufu. Ila baadhi ya wanawake tabu sana wanakana majina ya wazazi wao na kujipachika ya mume mfano bona kalua alipoachika akatakiwa kuliacha,bado waziri wetu gwajima daah
Una ushauri wowote kwa hao ving'ang'anizi wa majina ya ma ex wao?
 
Back
Top Bottom