Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

Labda sababu mume hajafungua kesi ya kumnyang'anya jina na jina limempa umaarufu. Ila baadhi ya wanawake tabu sana wanakana majina ya wazazi wao na kujipachika ya mume mfano bona kalua alipoachika akatakiwa kuliacha,bado waziri wetu gwajima daah
Kwani waziri wetu ile ndoa na yule mubaba waliokuwa wanajifukiza wote kipindi Cha mwendazake haipo Tena?
 
Ukiona mwanaume anaachana na mwanamke mzuri jua amevumilia mpaka akakiona kifo chake ndipo akakubali kuwa basi yaishe kama ni maisha vs mwanamke mzuri.
I am a witness of this for sure though hatukufikia ndoa.Ilifika kwa wazazi tu
 
Ujinga mkubwa kabisa wa ndoa hasa za kiAfrika ndo huu wa kubadilishana na Majina kama Basi za mtumba.
 
Ile ndoa ipo. Ila alipokwaruzana na gwaji wa kawe alisimangwa sana kutumia jina la ukoo wa watu badala ya mzazi wake
Kwani waziri wetu ile ndoa na yule mubaba waliokuwa wanajifukiza wote kipindi Cha mwendazake haipo Tena?
 
Nianze kumshukuru diwani wa kata yetu kwa juhudi zake za kuleta amani katika kata hii.
Nikija kwenye swali lako. Usitake kuchokonoa Mambo binafsi ya watu. Kwanza ukijua itakuongezea Nini?
Acha umbea.
 
Back
Top Bottom