Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kwa nini bado analitumia hilo jina ilhali wameshaachana?Ninavyojua Shusho ni jina la mume...ex mume
Bonyeza *102# utakua umempata na atakupa majibu.Kwa nini bado analitumia hilo jina ilhali wameshaachana?
Chrstina keplhin shushoTsubirie wadau wenye jina lake kamili ila shusho la mumewe kama habari hapa chini inavyosema
Christina Shusho was married to pastor John Shusho before the two filed for divorce. They had three children from their marriage: Odesia, Hope, and George Shusho
SijuiKwa nini bado analitumia hilo jina ilhali wameshaachana?
Kwa nini bado analitumia hilo jina ilhali wameshaachana?
Sikumuelewa kabisa siku ya tamasha la pasaka pale Masaki.Itoshe kuijua content yake anayofanya Nina mengi nachoka kuwaza vya wengine
Alifanyaje ilikuwaje??!wengine hatupo huko dar..Sikumuelewa kabisa siku ya tamasha la pasaka pale Masaki.
Yaani ni kama katumwa na shetani kumdhalilisha ex wake.
Una ushauri wowote kwa hao ving'ang'anizi wa majina ya ma ex wao?Labda sababu mume hajafungua kesi ya kumnyang'anya jina na jina limempa umaarufu. Ila baadhi ya wanawake tabu sana wanakana majina ya wazazi wao na kujipachika ya mume mfano bona kalua alipoachika akatakiwa kuliacha,bado waziri wetu gwajima daah
Naam.Ni vema akatudokeza maana hapa Kibhanchabhancha luninga zote tumeuza.Alifanyaje ilikuwaje??!wengine hatupo huko dar..
Dogo Mondi aliselebuka naye kucheza wimbo wa shusha nyavu πAlifanyaje ilikuwaje??!wengine hatupo huko dar..
Ni kwamba alikata uno ikiwa na Mondi stejiniNaam.Ni vema akatudokeza maana hapa Kibhanchabhancha luninga zote tumeuza.
Was that not incredible?ππππNi kwamba alikata uno ikiwa na Mondi stejini
Asante mkuu kwa ufafanuziChristina Shusho was married to pastor John Shusho before the two filed for divorce. They had three children from their marriage: Odesia, Hope, and George Shusho
It was full incredibleWas that not incredible?