Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

Hii tabia ya kukosea iko sana Tanzania nakumbuka chuoni waliandika jina kwa usahihi then registration number ya mtu mwingine mpaka nilivofatilia kwa umakini hadi kuchaganya ma file. Ni aibu kuendeleza hii tabia ya kukosea vitu serious
 
Hayo mabishano hayana maana.

Kama kuna tatizo la SAYABA kwamba siyo Lengai Sabaya aliyepo mahakamani; basi ilikuwa ni nafasi ya Wakili wa Utetezi kuiambia Mahakama kwenye "submission" kwenye "Prima facies Case" (A Case to Answer submission) ili aishaiwishi Mahakama kwamba aliyeshtakiwa kwenye Hati ya Mashtaka siyo Mteja wake aliyopo mahakamani.

Hivyo angeomba Mahakama itoe uamuzi kwamba Lengai Ole Sabaya hana kesi ya kujibu, bali Jamhuri imtafute huyo SAYABA aletwe mahakamani hapo.

Hatua hiyo imepita, na Mahakama imemkuta Sabaya anayo kesi ya kujibu. Maana yake ni kwamba makosa ya jina hilo ni makosa madogo sana ambayo Mahakama ikayafumbia macho kwa kukubaliana kwamba Sayaba aliyeandikwa kwenye Hati ndiye huyu aliyepo mahakamani akijitambulisha kuwa ni Sabaya.
 
hakuna kesi sabaya yuko huru
 
Ila Tanzania kwa kukosa umakini tuko kwenye kiwango kingine. Hawa watu dizaini hii ndiyo huwa hata sehemu kama JF hawajui kuandika baadhi ya maneno na ukiwasahihisha wanatukana.

Just imagine tangu mchakato wa mahojiano hadi kufunga ushahidi hakuna aliyestuka, vipi kwa mikataba iliyo sirini? Nilishangaa hata taarifa ya ikulu kurudia wakurugenzi Mara mbili mbili… tunayo shida
 
Yani kama umefatilia vizuri kuhusu mashtaka ya Sabaya na mashahidi walivyo wasilisha ushahidi wao basi hakimu atakuwa mwendawazimu tu kumkuta na hatia Sabaya! Ni uongo uongo mwingi tu yani!
Ke..nge wewe,unajitia kujua Sana sheria, Jambazi Sabaya anafungwa,tafuta bwana mwingine dada
 
huo sasa ndio utamu wa Sheria!!
kama hujui sheria utabaki unashangaa shangaaa tu!!
mfano;
1+1=2??!!
 
Back
Top Bottom