Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Jamii yetu ina kaupuuzi fulani hivi😁
 
Bila kusema Twitter lazima ungeaibika mzee mzima
 
tigo wamechelewa sana kubadili hilo jina lao, wakigundua ni tusi watabadilisha, kumbuka walianza mobitel, buzzy mpaka tigo. Kubadilisha ni kawaida yao wakitaka.
 
Pia alitaka kuincorporate na makampuni yake kama mmiliki halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…