Unamcheki kwenye x video au x postNgoja niangalie zangu X videos hpa na X post naangalia Mama samia kapostiwa huku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamcheki kwenye x video au x postNgoja niangalie zangu X videos hpa na X post naangalia Mama samia kapostiwa huku...
Vitu vya wakubwa hivyo ikionekana tu X kwenye mitandao ya kijamii lazima ahisi kuna jambo zito linakujaKuna siku niko kwenye dalala pembeni yangu alikaa father mmoja hv wakati nataka niperuzi X wakati inataka ifunguke ikawa inaonekana ile herufi X pale juu alinikata jicho hilo..alijua sijui ni mambo ya kikubwa
Hatari sanaMie kila siku nikiingia twitter nakuta mimtu inangonoka tyu... notification za mapenzi kila wakati wakiongozwa na..
Naangalia X Videos au nisemw twitter videos yupo hapa akiapishaUnamcheki kwenye x video au x post
Ni bora ingekuwa bidhaa hizi za kushikika atleast ingepunguza ukakasi ila mtandao wa kijamii hapo ndio magumashi zaidiKwa kweli ni jina baya, ingekuwa bwana musk angekuja bongo angeambiwa abadili jina hilo. Wabongo hawapendi majina yaliyokaa kimatusi tusi. Kuna balozi mmoja alikuja kuiwakilisha nchi yake, majina yake yote mawili ni matusi matupu kwa wabongo kuyatamka ikabidi arudi kwao aje mwingine
Sio poaWamezingua sana
WanajitahidiX ina watu makini kuliko mitandao yote iliyo chini ya Meta ya Mark Zuckerberg
Ni wengi sana inatupa ukakasi kidogo kwenye matumizi kwa sasaNilijua ni mimi tu inanipa shida!
ni utata, zile picha mbaya za ngono tunazita picha za X, sasa ukisema picha x ni utata mtupu, ama za ngono au za mtandao wa X. Angalia sentensi hii, "natazama picha za x kwenye mtandao wa x, ni utata mtupuNi bora ingekuwa bidhaa hizi za kushikika atleast ingepunguza ukakasi ila mtandao wa kijamii hapo ndio magumashi zaidi
Sasa mitandao ni mingi mpaka haijulikani. Hiyo ilianza mwaka gani
AiseeBa
Baada ya Twitter hii kumfungia Trump akiwa Rais kuelekea uchaguzi alioshindwa ati kuwa analeta taharuki.
Waajariwa kwenye huu wake aliwachukua huko huko Twitter kuja kusuka huu wake ki Melo Melo ..
Unamzungumzia Musenge Mukuma diplomat wa Zambia!Kwa kweli ni jina baya, ingekuwa bwana musk angekuja bongo angeambiwa abadili jina hilo. Wabongo hawapendi majina yaliyokaa kimatusi tusi. Kuna balozi mmoja alikuja kuiwakilisha nchi yake, majina yake yote mawili ni matusi matupu kwa wabongo kuyatamka ikabidi arudi kwao aje mwingine
Lakini siku hizi na wapumbavu wapo wengi tu tofauti na zamani.X ina watu makini kuliko mitandao yote iliyo chini ya Meta ya Mark Zuckerberg
Angalau si kama insta na fbLakini siku hizi na wapumbavu wapo wengi tu tofauti na zamani.