Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Jibu la kitaalamu.

Elon kaamua kuita mtandao ule wa twitter X kwa malengo ya kwamba ifike mahala ule mtandao sasa uwe multi task. Kiufupi afanye uwe kama we chat, facebook, instagram.

Biashara na social things in general ziendele mule.

Kwake yeye alikua akiona unaitwa tweeter na kile kindege . Aliona kama nia kubwa ilikua watu watoe sauti mbali mbali tu kama ndege. Huyu mlio huyu mlio.

Sasa X kwa nia ya kwamba uwe mtandao multi tasked
 
Jibu la kitaalamu.
Elon kaamua kuita mtandao ule wa twitter X kwa malengo ya kwamba ifike mahala ule mtandao sasa uwe multi task. Kiufupi afanye uwe kama we chat, facebook, instagram...
Alishindwa kutafuta jina lengine mbona hao wachina wemeita hivyo hivyo WeChat na sio neno gumu kama la bwana musk
 
Limekaa kizinzi!
Unamuuliza shangazi nataka kujua account yako ya X . Shangazi mwenyewe sasa
20230825_142151.jpg
 
Ila huu mtizamo ni wa wakubwa😀
Kuna siku niko kwenye dalala pembeni yangu alikaa father mmoja hv wakati nataka niperuzi X wakati inataka ifunguke ikawa inaonekana ile herufi X pale juu alinikata jicho hilo..alijua sijui ni mambo ya kikubwa
 
Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya.

Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X"...
Mie kila siku nikiingia twitter nakuta mimtu inangonoka tyu... notification za mapenzi kila wakati wakiongozwa na..
 
Kwa kweli ni jina baya, ingekuwa bwana musk angekuja bongo angeambiwa abadili jina hilo. Wabongo hawapendi majina yaliyokaa kimatusi tusi. Kuna balozi mmoja alikuja kuiwakilisha nchi yake, majina yake yote mawili ni matusi matupu kwa wabongo kuyatamka ikabidi arudi kwao aje mwingine
 
Back
Top Bottom