Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

Yule mshikaji anavuta Bangi na ukishakuwa na pesa nyingi lazima utafute changamoto! Sasa ndo anazitafuta..😂
Mwendo wa X musk aliwaza mbali sana hako kaapp unakafungua huku ukiwa umejifunika koti ukiwa kwenye daladala
 
Yaani nina siku nyingi sijaingia twitter sas juzi bhana nikataka nichungulie tena kule, sas mimi nagoogle twitter wenyewe wanaleta × sas nkahisi hyo ni scam, nkawa natafuta kwingine kila nkiandika wanaleta hvo hvo duu, kumbe bhana wamebadili
Sasa hivi ngoma inasoma X sio Twitter tena
 
Hili jina Hapana kwakwel ko ukipost kule umepost X🤣 na ukiangalia unaangalia X na unakua na Account ya X🤣
Jina limekaa kimkakati sana hata kaapp kake kana alama ya X daaah musk katu bananisha vilivyo😀
 
Mtu na pesa zake, Banza Stone aliimba kwenye "Mtu pesa".
Anaweza siku moja akaamua kuufunga huo mtandao ni wake bwana.
 
Back
Top Bottom