Jina la ukoo lina nguvu kubwa sana kiroho

Hii
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.

Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo.

Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo vitafanya kazi.

WAKATI MWINGINE mtoto anaweza kumbambika kwa baba MWINGINE ila ukoo wake unamkontrol kiroho.

Na ukoo Ukiwa na nguvu na mila za mizimu na kiroho BASI mtoto ATAKUWA na mambo ya HOVYO.

Kuumwa HOVYO.
Kulia HOVYO
Jeuri jeuri
Hakusikilizi

Yaani ukienda shuleni HOVYO Matokeo.

Kumbe damu ya baba inatembea mwilini.

Ndio maana kuna ukoo wanasema hatupotezi mtoto.

Hata umwite jina la kwenu na kumfuta baba yake au ukoo wake basi HIYO ni vita haitamuacha mbaka anakufa.

Wengine wanapotea potea KILA SIKU kisa jina na damu ya ukoo wa baba yake.

Hata vitabu vimekataa KUBADILISHA ukoo bila sababu ya Haki.

Mtoto unapeleka hospitali mbaka unachoka. Ila SIKU ukimpeleka kwa babu yake. BASI degedege linakata hapo hapo.

Ukoo au damu ya mtoto haikatwi milele. Utabadilisha jina tu ila damu ni ile ile na itafanya kazi.
Hii kitu nilishaishuhudia live bila chenga, mtoto aliteseka sana baada ya mama yake kumuuza Kwa msela mwingne.
 
Watoto wa 5, mtoto wa nne sio wake alikubali kulea bao la mwanaume mwenzie. Huyo mtoto anatofautiana mambo mengi sana na ndugu zake wanne. Bado ujaelewa?
ahaaa kwahyo mkuu hapo ulitaka afanane na watoto wanne wa bao la mwanaume huyo huyo? Kutofautiana si kawaida mkuu sababu huyo si baba yake? Au utofauti gani ulikuwa unaamanisha mkuu?
 
Tofauti za koo, huyo sio wa koo hiyo tabia zake ni za koo ya baba yake halisi.
 
Ila na hili la kuandika neno HOVYO badala ya OVYO limeshamiri sana humu jukwaani.
 
Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao.

Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo.

Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo vitafanya kazi.

WAKATI MWINGINE mtoto anaweza kumbambika kwa baba MWINGINE ila ukoo wake unamkontrol kiroho.

Na ukoo Ukiwa na nguvu na mila za mizimu na kiroho BASI mtoto ATAKUWA na mambo ya HOVYO.

Kuumwa HOVYO.
Kulia HOVYO
Jeuri jeuri
Hakusikilizi

Yaani ukienda shuleni HOVYO Matokeo.

Kumbe damu ya baba inatembea mwilini.

Ndio maana kuna ukoo wanasema hatupotezi mtoto.

Hata umwite jina la kwenu na kumfuta baba yake au ukoo wake basi HIYO ni vita haitamuacha mbaka anakufa.

Wengine wanapotea potea KILA SIKU kisa jina na damu ya ukoo wa baba yake.

Hata vitabu vimekataa KUBADILISHA ukoo bila sababu ya Haki.

Mtoto unapeleka hospitali mbaka unachoka. Ila SIKU ukimpeleka kwa babu yake. BASI degedege linakata hapo hapo.

Ukoo au damu ya mtoto haikatwi milele. Utabadilisha jina tu ila damu ni ile ile na itafanya kazi.
Ni uongo mtupu hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom