Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Watoto wengi hupenda kuniita Anko,hata nikisafiri kwenda home wanaambizana amekuja Anko Askari(ingawa mimi sio askari),basi wanakuja kundi kuja kunisalimia. Bantu hilo nimejipa mwenyewe maana mimi ni mbantu,pia kuna kabiznez nilitaka nianzishe nitumie jina la Bantu
 
Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani.
Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku ambayo chama cha mapinduzi,CCM kilitoa majina ya mchujo kupata TANO Bora ya mgombea uraisi mwaka 2015 .
JE WEWE JINA LAKO FICHE HAPA JAMIIFORUM LINATOKANA NA NINI?
Ili iweje
 
Mimi kutokana na muunganiko wa herufi za majina yangu mawili likapatikana hilo
 
Sikwenda shule siku hiyo ili nitazame 70th Moscow Victory Day Parade yote live maana rehearsal zilikuwa moto. Siku ile T-14 Armata main battle tank ikawa introduced kwa mara ya kwanza, 2 yrs later najiunga JF kwa ID hii
63c92cf52a1e600018b8aa26.jpeg
 
Back
Top Bottom