Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Hili ni jina langu halisi kabisa ,mama yangu mzazi aliniambia alinipa jina hilo siku nimezaliwa na dokta alie msaidia alikua ni mkorea alikua na jina hilo, akaamua tu na mimi niitwe hivyo kutokana na ukarimu wake kwake ephen_ 😊😊.
Nimeelewa kwa nini una vielement vya kutoamini kuhusu hizi imani zetu.
Kweli mkuu uzaliwe nyumbani au zahanati na jina lako ni yohana. Halafu usiamini kama Mungu yupo 😁😁😁
 
😁😁😁 wala sio hivyo mkuu angekuwepo ningejua tu moja kwa moja wala isingehitajika kuamini bro.πŸ˜†
 
Bila shaka hauishi tandahimba au namanyere maan hizi ni mindset za wazee wa diaspora wetu wa USA 😁..

Hata hivyo, kama upo content na ulivyo. Fresh tu min me ✊🏽✊🏽
 
Hili jina GAMIC baadhi ya watu huwa wanalitafsiri kwa kuchanganya kwamba napenda michezo kama Simba na Yanga , sivyo ilivyo .

GAMIC ni jina nililolitunga mwenyewe kwa kuunganisha jina langu ( GA ) , mind ( MI ) na clinic ( C ) kumaanisha kliniki ya akili yangu niliyopewa na Mwenyezi-Mungu . Na nina kipimo cha siri ambacho huwa natumia kuipima akili yangu wakati ninapokuwa kwenye kliniki binafsi .
 
ukiidraft vizuri utapiga hela mtaani.
 
Back
Top Bottom