mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
Queen of zamundaSijui aliyenipa hili jina alimaanisha nini??
Queen of balimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Queen of zamundaSijui aliyenipa hili jina alimaanisha nini??
Yaani, ni kuperuzi kuchangia aaah!Ni kuperuzi tu kuchangia mada hapana naweza kutoa boko mkuu
mshamba_mwingineNapenda Kudeka, Kwa anayejua kunidekeza ☺️☺️
Labella=mafiaSijui aliyenipa hili jina alimaanisha nini??
Anko ukipunguza ukorofi zile pisi za humu utazipata mbona....Sasa unatuitia mashoga wa nini humu?! We kumbe hujakua eeh we kijana?!
Umetoka kwenye ban juzi tu ila hujirekebishi... Dahh!
Kibo show Moja mnamaKindeena = mwanambuzi/mwanakondoo
The bellaSijui aliyenipa hili jina alimaanisha nini??
Sawa... Kwahiyo vipi?Kumbe Catherine linamaanisha amani sikuwa najua,
Umekosea firstborn ni hilo hilo ila sio kwa kiswahili pia siitwi Catherine
Jina langu na mtoto wangu ni moja katika lugha tofauti
We jamaa unanivunjaga mbavu sana! Yaani nikitazama na hiyo Avatar pamoja na vituko vyako... Navutaga picha kabisa kwamba huyu ni Ringo Macintosh 😂😂😂🙌Katika Maisha ya utafutaji nimeona mengi Kuna waliopambana wakaambulia patupu Kuna wengine haraka sisimizi penenge tembo wengine harakati tembo penenge sisimizi mwisho wa siku anaepanga riziki ni Mungu
Sidhani kama kuna mtu kaelewa ndugu mrusiSikwenda shule siku hiyo ili nitazame 70th Moscow Victory Day Parade yote live maana rehearsal zilikuwa moto. Siku ile T-14 Armata main battle tank ikawa introduced kwa mara ya kwanza, 2 yrs later najiunga JF kwa ID hiiView attachment 3041707
Nini kilitokea hebu ninong'oneze😁I'd yangu ya mwanzo niliitelekeza kwa Aibu .😥😥