Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Watoto wengi hupenda kuniita Anko,hata nikisafiri kwenda home wanaambizana amekuja Anko Askari(ingawa mimi sio askari),basi wanakuja kundi kuja kunisalimia. Bantu hilo nimejipa mwenyewe maana mimi ni mbantu,pia kuna kabiznez nilitaka nianzishe nitumie jina la Bantu
 
Ili iweje
 
Mimi kutokana na muunganiko wa herufi za majina yangu mawili likapatikana hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…