Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Hili ni jina langu halisi kabisa ,mama yangu mzazi aliniambia alinipa jina hilo siku nimezaliwa na dokta alie msaidia alikua ni mkorea alikua na jina hilo, akaamua tu na mimi niitwe hivyo kutokana na ukarimu wake kwake ephen_ 😊😊.
 
Katika Maisha ya utafutaji nimeona mengi Kuna waliopambana wakaambulia patupu Kuna wengine haraka sisimizi penenge tembo wengine harakati tembo penenge sisimizi mwisho wa siku anaepanga riziki ni Mungu
We jamaa unanivunjaga mbavu sana! Yaani nikitazama na hiyo Avatar pamoja na vituko vyako... Navutaga picha kabisa kwamba huyu ni Ringo Macintosh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Sikwenda shule siku hiyo ili nitazame 70th Moscow Victory Day Parade yote live maana rehearsal zilikuwa moto. Siku ile T-14 Armata main battle tank ikawa introduced kwa mara ya kwanza, 2 yrs later najiunga JF kwa ID hiiView attachment 3041707
Sidhani kama kuna mtu kaelewa ndugu mrusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…