Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Hili ni jina langu halisi kabisa ,mama yangu mzazi aliniambia alinipa jina hilo siku nimezaliwa na dokta alie msaidia alikua ni mkorea alikua na jina hilo, akaamua tu na mimi niitwe hivyo kutokana na ukarimu wake kwake ephen_ 😊😊.
Jina na wewe vinaendana, subiri nikakuchungulie
 
Ni kocha ninae mkubali sana hasa Falsafa zake.


Hata boli napenda na hua nimuumini wa pira la kugusa mara moja sio chenga za anakwenda.
Fala yule anajua boli hatari.
Mie ananifurahiahaga tuu pale ligi imebakiza mechi 12 iishe alafu yeye yupo nafasi ya pili.
Ebwana wee....atapiga game kumi au kumi na moja yeyey anatoa vipigo tuu hadi raha.
 
Ki intelijensia, kama mimi natafuta utambulisho wako halisia kwa muda mrefu na cjafanikiwa kupata, naweza kukuchimba kupitia swali kama hili linaloonekana kuwa la mzaha lakini nikapata vidokezo vya kuendelea kukujua wewe kwa utambulisho wako halisia.

Na baada ya hapo lolote linawezekana. Kumbuka JF na wanajukwaa wake wengi wako kwenye WANTED LIST ya watu wasiojulikana kutafutwa na wasiojulikana official πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Kwaiyo Uzi huu unaweza kuwa Uzi mzuri kama Uzi mwingine wowote ila unaweza ukawa mtego kwetu vilevile au ukatumiwa na wenye Nia ovu kupitia maana ya majina Fiche yetu.

Kuwa makini.
 
Mnafiki Wa Kujitegemea.
Sina na sifanyi unafiki kwa ajili ya kumnufaisha mwingine . Na ni vigumu kuninafikia.
Sitaki unafiki.
 
Kijana acha mikwara wewe ukihitajika utapatikana katika muda wanaotaka wao, most wanted kwa lipi?
Mkwara??? Toka umepigwa mikwara πŸ˜‚ umewahi ogopa au kuacha ulichotaka kukifanya?

Mkwara wangu mimi kama nani hata nikutishe wewe? Hapa tutashirikishana maarifa na uzoefu ukiona yanakufaa unachukua unatumiwa maishani au hayakufai piga chini pita hivi 🀐🀐🀐

Kama unanihitaji anza wewe kunitafuta, au wapelekee faili langu.

Huoni kama kila kiongozi anatembelea Ofisi za JF sikuiz tofauti na zamani.?

Hukusikia baadhi ya viongozi wanasema JF ifungwe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…