Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
We vinjari bn hamna most wanted humu acha kutengeneza dhana hasi kichwani mwakoMkwara??? Toka umepigwa mikwara π umewahi ogopa au kuacha ulichotaka kukifanya?
Mkwara wangu mimi kama nani hata nikutishe wewe? Hapa tutashirikishana maarifa na uzoefu ukiona yanakufaa unachukua unatumiwa maishani au hayakufai piga chini pita hivi π€π€π€
Kama unanihitaji anza wewe kunitafuta, au wapelekee faili langu.
Huoni kama kila kiongozi anatembelea Ofisi za JF sikuiz tofauti na zamani.?
Hukusikia baadhi ya viongozi wanasema JF ifungwe???
Sijawahi sikia hilo jinaephen ni jina la kipenzi cha mama angu
π€£π€£π€£ Hii ni kweliiiMwangaaaaza
Wakitaka kukuban wanapigwa mwangaza wanashindwa kuona tena π€£π€£π€£
Itarudi tuKwahiyo ile nyingine ndo basi tena au
Labda alitaka kukuita Labia.Sijui aliyenipa hili jina alimaanisha nini??
Ukoo wetu una majina ya pekee kama Defris, Tantine, Maa'ma, ephen, Shanuary, MamichuSijawahi sikia hilo jina
Labda kama unamaanisha Stephen
DuhUkoo wetu una majina ya pekee kama Defris, Tantine, Maa'ma, ephen, Shanuary, Mamichu
Kati ya haya majina lipi ushawahi kulisikia?
Ningekuongezea mengine sema kichwa kitakuumaDuh
Ukoo wenu noma
Kheee achiliaa moto!!π€£π€£π€£ Hii ni kweliii
Kuna jinga moja lilinifanya nipigwe ban ya 2 weeks juzi kati ila kwa huu mwangaza nikaachiliwa after 2 daysπ
π€£π€£π€£ HaitajirudiaKheee achiliaa moto!!
Fire fireeeeee
π€£π€£π€£ Ila we tanga tanga waje waifunge tela na kule
Tantine nafanya nae kazi sema sio mbongoUkoo wetu una majina ya pekee kama Defris, Tantine, Maa'ma, ephen, Shanuary, Mamichu
Kati ya haya majina lipi ushawahi kulisikia?
Sasa usiende kumwambia kua ephen yupo jf!Tantine nafanya nae kazi sema sio mbongo
Mtu wa Congo (Sina hakika kama Congo ni central Africa)Sasa usiende kumwambia kua ephen yupo jf!
Ni mtu wa Central Africa?
Basi tuishie hapa!πMtu wa Congo (Sina hakika kama Congo ni central Africa)
Ungesema mapema sasa maana shampigia simu nimwambia