Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
We vinjari bn hamna most wanted humu acha kutengeneza dhana hasi kichwani mwakoMkwara??? Toka umepigwa mikwara 😂 umewahi ogopa au kuacha ulichotaka kukifanya?
Mkwara wangu mimi kama nani hata nikutishe wewe? Hapa tutashirikishana maarifa na uzoefu ukiona yanakufaa unachukua unatumiwa maishani au hayakufai piga chini pita hivi 🤐🤐🤐
Kama unanihitaji anza wewe kunitafuta, au wapelekee faili langu.
Huoni kama kila kiongozi anatembelea Ofisi za JF sikuiz tofauti na zamani.?
Hukusikia baadhi ya viongozi wanasema JF ifungwe???