Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

The- the
1- one
2- to
b- be
di- disturbed

The one to be disturbed! Sipendi ugomvi. Mara nyingi huwa nachokozwa na wagomvi wangu.
Imenisisimua hii kitu kumbe hiz id zina mengi ndani yake[emoji3525]
 
Nimejifunza kitu mkuu [emoji123]
 
King yedidiah
King- mfalme
Yedidiah; Rafiki wa Mungu.. ni jina alilopopewa suleiman na nabii nathan ikiwa ni ujumbe kutoka kwa Mungu baada ya Mungu kumsamehe daudi dhambi ya kuzini na mke wa uria mhiti.
Noted [emoji3578]
 
Namkubali sana Uhuru Kenyatta na ndio asili ya hili jina "Moja"ni kama swaga nilikuwa napenda au huwa napenda kuitumia hadi Leo kwa watu wa karibu mfano ni rahisi kusema "Samia Moja "ye anaitikia oi oi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…