Niliolewa kabisaa mahari walikula ma anko nataka ujinga miyee!!!mzee aliwatimua![emoji5] [emoji5] [emoji5] halafu nilikua na kimimba!weeee!ila ndoa isiyo na baraka za wazazi bwana acha tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniumbua mmhhhAkina Anania niliowahi kuwasiki, kukutana nao ni ME tu.
Wewe ni KE bana
Loooh!hongera!Baba angu ananionaga mimi mdogo yaan anaonaga mi sikui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann? Wazee huwa wanawatafutia wenzao mke hiyo niliiona sana Tanga
Chaumbea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno yako yanachekesha kweliKwann? Wazee huwa wanawatafutia wenzao mke hiyo niliiona sana Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe jeee!Niko kwenye tizi hapa la kufa mtu!mpk ziisheAhahahah pensheni imetoka eee tunaomba zile mbinu 5 kubwa uzitumie kiuhakika,nimesema sultana kigogo wa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
roba ya mbao πππ una mikwala sana ww πππYeye alikuwa halii mimi nikikasirika nashindwa kuongea nalia tu ,zamani niliweza kulia tu siku hizi siwezi hasa nione mtu kanionea na yupo karibu yangu lazima nikushike walikuta nimempiga roba moja ya mbao kanyong'onyea hatari halaf ni mkubwa kwangu mbali tu,na hapo nishampa vibao vya kutosha na nikikasirika nina vibao vya kalii wa mieleka nyumaa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ilivunjika tu wala usiseme baraka za baba yako zilikosa, Nazani wajomba zako hawakumshirikisha baba yako wakati umechumbiwaNiliolewa kabisaa mahari walikula ma anko nataka ujinga miyee!!!mzee aliwatimua![emoji5] [emoji5] [emoji5] halafu nilikua na kimimba!weeee!ila ndoa isiyo na baraka za wazazi bwana acha tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu Bibi asisikie[emoji23] [emoji23]Huyo ni ndege wangu mwenyewe, sihitaji manati
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ebu jaribu tena ukishindwa nitag nikusaidie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu
Hahaahaaaa@Asprin hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]acha tu!Ur dad is not civilize, he need counseling, anazani sikuhizi vijana wanaowa tu, mwambie akutafutie yeye kama hatokuletea mzee mwenzie ambaye anawake wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniumbua mmhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh alitaka kunipiga nayo nikaidaka ,moyoni nikasema unadhani naenda cinema kuangalia movie bure nalipiga pesa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23],,wangechelewa watu nahisi angezimiaroba ya mbao [emoji23][emoji23][emoji23] una mikwala sana ww [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kurya staili balaa sana huyo alikuwa mpole sanaYeye alikuwa halii mimi nikikasirika nashindwa kuongea nalia tu ,zamani niliweza kulia tu siku hizi siwezi hasa nione mtu kanionea na yupo karibu yangu lazima nikushike walikuta nimempiga roba moja ya mbao kanyong'onyea hatari halaf ni mkubwa kwangu mbali tu,na hapo nishampa vibao vya kutosha na nikikasirika nina vibao vya kalii wa mieleka nyumaa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] yaani tena urithi wote ntapewa miye!!ngoja nianze kusoma namna ya kupata mtoto wa kiumeMpk nikuzalishe mtoto wa kiume
hunaswa tunduni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndege mjanja.........
navuta picha hayo mapigano yalikuwaje πππEeeh alitaka kunipiga nayo nikaidaka ,moyoni nikasema unadhani naenda cinema kuangalia movie bure nalipiga pesa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23],,wangechelewa watu nahisi angezimia
Sent using Jamii Forums mobile app