Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Yeye alikuwa halii mimi nikikasirika nashindwa kuongea nalia tu ,zamani niliweza kulia tu siku hizi siwezi hasa nione mtu kanionea na yupo karibu yangu lazima nikushike walikuta nimempiga roba moja ya mbao kanyong'onyea hatari halaf ni mkubwa kwangu mbali tu,na hapo nishampa vibao vya kutosha na nikikasirika nina vibao vya kalii wa mieleka nyumaa [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
roba ya mbao 😂😂😂 una mikwala sana ww 😂😂😂
 
Niliolewa kabisaa mahari walikula ma anko nataka ujinga miyee!!!mzee aliwatimua![emoji5] [emoji5] [emoji5] halafu nilikua na kimimba!weeee!ila ndoa isiyo na baraka za wazazi bwana acha tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ilivunjika tu wala usiseme baraka za baba yako zilikosa, Nazani wajomba zako hawakumshirikisha baba yako wakati umechumbiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur dad is not civilize, he need counseling, anazani sikuhizi vijana wanaowa tu, mwambie akutafutie yeye kama hatokuletea mzee mwenzie ambaye anawake wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaaa@Asprin hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]acha tu!

Mzee mwenziwe labda awe kama mzee mengii!!kwa sasa plan yangu mpk 35 ndo nianze kusaka mwenza !!!!acha niwe single mama kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
roba ya mbao [emoji23][emoji23][emoji23] una mikwala sana ww [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh alitaka kunipiga nayo nikaidaka ,moyoni nikasema unadhani naenda cinema kuangalia movie bure nalipiga pesa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23],,wangechelewa watu nahisi angezimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye alikuwa halii mimi nikikasirika nashindwa kuongea nalia tu ,zamani niliweza kulia tu siku hizi siwezi hasa nione mtu kanionea na yupo karibu yangu lazima nikushike walikuta nimempiga roba moja ya mbao kanyong'onyea hatari halaf ni mkubwa kwangu mbali tu,na hapo nishampa vibao vya kutosha na nikikasirika nina vibao vya kalii wa mieleka nyumaa [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kurya staili balaa sana huyo alikuwa mpole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom