Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nadhani na kitu moyoni nachotaka napenda niolewe na mtu nnaemtaka mimi hapo ndio tatizo na ninajua ndoa ngumu sitaki kupaparika ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani na kitu moyoni nachotaka napenda niolewe na mtu nnaemtaka mimi hapo ndio tatizo na ninajua ndoa ngumu sitaki kupaparika ,
😂😂😂😂😂😂 mzee katisha sanaBaba angu ananipenda mno ananisikiliza mno mimi sema ndugu zake tu,juzi hapa nimemtandika mdogo wake akikuwa ananichokoza halaf baba akaniambia safi sana akikuzingua mfinye tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Km kawa wakati nna kids wawili ngoja niolewe matala sasa hivi!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee baba bado kakaza
dats gud to hear asee...bless
Hahaahaha pole binam wazazi wangekuwa wanatuacha tu jamani tunaolewa na tunaopatana nao akili ,maana mziki tunaenda kuucheza wawili tuMi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!mahaba Niue mahaba niteketeze!!!!Ana vituko usione hapostig yupogo busy na kazi na whatsapp call tunaongea ,au akiona nataka kubisha kitu anaaanza kuniita hivyi nasahau yote ashajua udhaidpfu wangu kudekezwa na kubembelezwa basi nalegea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa yaani!ukisema iende opposite itakula kwako!nilikoma asee.... naacha nature ifanye kazi yake ya ile rule ya magnetic poles [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 hahahKm kawa wakati nna kids wawili ngoja niolewe matala sasa hivi!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako unaijua mwenyewe wallah[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] si wajua wazee wetu hawa acha tu!Mimi sasa hivi sitamani hata kidogo akili ipo kwa babu Asprin[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewee!sio wakristo wa upande wa mama angu!![emoji2] [emoji2] [emoji2] shoga itakula kwako!ina depends na wakristo wepi!!
kweli maana hata hicho kibuti niliforce mtu sikuwa nimemuelewa wala nn nikasema embu nijaribu nidate na ustadhat weeeee sijawahi kula kibuti kama kile
Ni hivi mimi upande wa baba waislam wote,upande wa mama wakristo wote,halaf mi naona upande wa mama wako poa zaidii ,naonaga dini ya mama yangu naifurahia zaidi ,Mfano G anasali dhehebu moja na mama so nakuwa napenda zaidi,mapenzi nyie acheni mi hapa nilipo sipindui kwa chochote , nyie ndugu mtasamehe tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] sio chizi hujali tu!!na kwenu hawana msimamo kwetu weee acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumuibia baba wa watu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] si wajua wazee wetu hawa acha tu!Mimi sasa hivi sitamani hata kidogo akili ipo kwa babu Asprin[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa nzuri uolewe na mtu unaempenda wewe rafiki yako sio wao!Nadhani na kitu moyoni nachotaka napenda niolewe na mtu nnaemtaka mimi hapo ndio tatizo na ninajua ndoa ngumu sitaki kupaparika ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa!!dini ndo shidaaHahaahaha pole binam wazazi wangekuwa wanatuacha tu jamani tunaolewa na tunaopatana nao akili ,maana mziki tunaenda kuucheza wawili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nalia nimekasirika ,halaf namfata alipo akanikumbatia akaniambia kakupiga?nikamuambia hapana nimempiga akasema safi sana nyamanza sasa usilie ,akikuchokoza tena piga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee katisha sana
Babu umeitendea haki chumvi uliyoila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nitabiri...
Linaanzia na S na kuishia na A
Sofia?
Shadya?
Shamsa?
Selina?
Salma?
Salama?
Sakina?
Kama nimepatia uje PM tupange mipango