Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Mi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaha pole binam wazazi wangekuwa wanatuacha tu jamani tunaolewa na tunaopatana nao akili ,maana mziki tunaenda kuucheza wawili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] sio chizi hujali tu!!na kwenu hawana msimamo kwetu weee acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi mimi upande wa baba waislam wote,upande wa mama wakristo wote,halaf mi naona upande wa mama wako poa zaidii ,naonaga dini ya mama yangu naifurahia zaidi ,Mfano G anasali dhehebu moja na mama so nakuwa napenda zaidi,mapenzi nyie acheni mi hapa nilipo sipindui kwa chochote , nyie ndugu mtasamehe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee katisha sana
Nilikuwa nalia nimekasirika ,halaf namfata alipo akanikumbatia akaniambia kakupiga?nikamuambia hapana nimempiga akasema safi sana nyamanza sasa usilie ,akikuchokoza tena piga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom