Jina zuri la mtoto wa kike

Wakuu habari za uzima?

Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.

Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.

Ahsanteni.

Wewe kama mzazi, mpe mwanao jina wewe mwenyewe...
 
Je umekosa kabisa majina toka jamii yako, kabila lako?
 
Nikiona post kama hizi za kuomba majina ya watoto nachukulia moja kwa moja kwamba mtoto amezaliwa na wazazi mataahira, hana chochote cha maana atapata kutoka kwa hao wazazi.

Watoto wa hivyo wana bahati mbaya sana kuzaliwa na wazazi kama huyu mtoa mada, zero brain kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…