Jina zuri la mtoto wa kike

Nitamkuza kuendana na Jina lake .



Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Mithali 22:6 Mlee mtoto Katika njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee.
Ni kweli lakini halina guarantee.

Watu wengi ambao sasahiv Hawamini katika mungu ni waliolelewa katika familia za dini, ila wanapozidi kukua wanahisi kama si sahihi.

Muombe mungu tu yeye ndio kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…