Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Ila wanawake na uzazi mnachangamoto sana...

Mnapitia mengi sana...
 
much know
Soma hii mkuu
 
Cha ajabu nawafahamu kibao niliosoma nao,walitoa sn tu sio 1 wala 2 na wamezaa vzr mpk wanazuia!
kama walikuwa umri sahihi wa kuzaa. mimba zinakuja tu.

changamoto za uzazi zinawakumba sana wanawake wanaotafuta mtoto wa kwanza first born wakiwa 30

mwanamke wa miaka 25 kushuka chini hapati shida kupata mimba maana mayai yake yanakuwa na quality ya juu sana
 
Kweli kabisa, maana hakuna mtu ambaye anampenda kuwa hivyo...
Ukisema hakuna mtu ambaye anapenda kuwa hivyo, kauli hiyo ni kama kunyanyapaa hali hiyo. Ni kufanya kutoolewa na kutokuwa na mtoto kuwe kama bahati mbaya kubwa sana, au kama kilema fulani hivi.

Yani ni kuona mwanamke ambaye hajaolewa na hana mtoto kawa hivyo kwa bahati mbaya tu, angeweza ni lazima angeolewa na angekuwa na mtoto.

Kuna watu wanapenda kuwa hivyo, wanaamua kuwa hivyo.

Na hawa inafaa waheshimiwe, ni maamuzi yao.
 
Kuna mitaa ya Manzese, Kigogo na Mburahati aisee kuna watoto wengi mpaka Kero πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo madada masomi ya huko kwenu ndiyo yanachelewe kuzaa ama kupata ugumba kabisa. Manzese mtoto wa kike anamaliza la saba anaingia kwenye ndoa akiwa na miaka 16 ama 17. Akimwagiwa tu shahawa za kiume ama hata mkojo wa asubuhi wa mwanaume anapata mimba. Kwasabb kizazi bado kisafi hakijachafuliwa.

Njoo kwa hawa mademu wasomi sasa. Tangu kidato cha pili anachakatwa lkn anazuia mimba kwa kumeza midonge ama anapata mimba na kuitoa. Mpk akamalize chuo kikuu anakuwa ametoa mimba zaidi ya 10. Akija kuolewa huyo atazunguka kwa wataalamu wote wa tiba mbadala hapa nchini halafu ataishia kupata mtoto mmoja tu.
 
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?

Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Kiranga African mentality na umasikini Wa mawazo na fikra Ndo hufanya watu waamini bila kuoa au kuolewa baasi me au ke ana shida na jamii zetu kuchukulia hao watu ndivyo sivyo
 
🀣🀣Jux aweza kuwa mgumba ,manake kabla ya vanesa,alikuwa na yule jack alokamatwa China na sembe,kama girlfriend wake kwa miaka kadhaa,bila mimba
Au huwa wanazitoa,wanaona jamaa,sio mtu wa kutengeneza naye family,manake amekaa kistarehe na kutokubali kukua.
 

Jesus!!!!!😳😳😳😳😳😳😳😳😳!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…